INASIKITISHA BAADA YA KUUGUA UGONJWA ULIOHARIBU KICHWA CHAKE.BOFYA KUSOMA HABARI NA KUONA PICHA ZAIDI...
Alizaliwa kawaida lakinia alipofikisha umri wake wa ujana alipata tatizo ambalo linamfanya chembechembe za mwili wake kukua kwa kiwango kikubwa kuliko zinavyohitajika.Na kwa jamaa huyu chembechembe hizo zimetokea usoni katika mifupa na nyama zake za kichwani.Sasa yeye na kaka yake wanatafuta hela ili aende akafanye PLASTIC SURGERY.....
No comments:
Post a Comment