SULTAN WA BRUTUNEI:
1.ANAMILIKI MAGARI 7000.
2.ANA NYUMBA YA PILI DUNIANI KWA UKUBWA.
3.ANA PRIVATE JET.
4.ANAMILIKI VYOMBO VYA DHAHABU VINGI.
5.NYUMBA YAKE INA VYUMBA 560 NA VYOO 350
6.ANA DEGREE ZA KISOMO 14 TOKA MAENEO MBALI MBALI.
7.NI KIONGOZI MWENYE NYANJA NYINGI ZA UONGOZI
No comments:
Post a Comment