MCHUMBA WAEKE ALIKUFA AKAAMUA AOE NYOKA AKIAMINI MCHUMBA WAKE AMERUDI KAMA NYOKA
Kijana mmoja kutoka huko bara la asia ameamua kuoa nyoka baada ya kufariki kwa mchumba wake.Anadai kuwa mchumba wake amerudi kwa njia ya nyoka na hivyo anamjali nyoka huyovizuri sana kuliko kitu chochote.Huenda naye kula,mazoezini na hata baadhi ya sehemu nyingine kama unavyoona kwenye picha...
No comments:
Post a Comment