JAMII MOJA HUKO INDONESIA AMBAYO HUISHI NA MAITI WIKI MOJA KABLA YA KUMZIKA,,WANAFANYA NAE KILA KITU
Jamii moja huko indonesia ambako mtu akifa jamii ya watu hao huishi na mtu huyu ndani kwa wiki moja na kuhakikisha kuwa anakula,anakunywa,anavishwa na kufanyiwa vitendo vyote sawa na binadamu wa kawaida. TUMEKUWEKE NA VIDEO CHINI KABISA UANGALIE
No comments:
Post a Comment