Nabiii wa kimataifa wa kanisa la Synagogue Church Of All nations TB Joshua amezuiliwa na Raisi mteule Wa marekani Donald Trump kwa kile kinachosemakana kushindwa kwa unabii wake ambao alitabiri kuwa Raisi atakayeshinda Marekani ni mwanamke ambaye ni Bibi Hilary Clinton Kutokea chama cha Democratic.
Raisi huyo mteule ametoa msimamo wake kuwa Manabii hao wa uongo kama Tb joshua hawataruhusiwa Kuingia katika nchi ya marekani.Hata hivy maraisi wengine kama wa Nigeria aliyepita amemkosoa Raisi TB joshua na kusema kuwa Mungu anayemuabudu hawezi kumuambia kitu halafu kisitimie.
Mjadala mkalia amabao unaendelea katika mtandao wa twiitter kuhusu kauli ya Trump umezua mambo mengi sana na mjadala huo umesemekana kusambaa mara 16000 ndani ya pungufu ya dakika 30 umezua makubwa mpaka sasa.KWA UTHIBITISHO HAPA CHIN UNAONYESHA TAMKO LA DONALD TRUMP KUHUSU KAULI YA TB JOSHUA
No comments:
Post a Comment