JEROME KERVIEL NI MTU MASKINI DUNIANI.
ANADAIWA KIASI CHA DOLLAR ZA KIMAREKANI 6.3 SAWA NA TRILLIONI KUMI NA MBILI KWA HELA ZA KITANZANIA.
YUKO JELA KWA MIAKA MITATU ANA UMRI WA MIAKA 37.
NI RAIA WA UFARANSA AMABAYE ALIFANYA BIASHARA ISIYO NA IDHINI MAALUMU NA KUFIKA HATUA YA KUFILISIKA.
No comments:
Post a Comment