Thursday, December 1, 2016

AMOU HAJI MTU MCHAFU KULIKO WOTE DUNIANI KUTOKEA IRANI,,,HAJAOGA MIAKA 60

Amouji Harani mwenye miaka 80 ambaye hajaoga miaka 60 kutokana na sababu zake alipokuwa kijana zilizomfanaya asioge.Muirani huyu ambaye anavuta sigara iliyotengenezwa na kinyesi cha wanyama anishi huko irani na anakula vitu vichafu usivyoweza fikiria









No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname